Thursday, July 14, 2016

GENTLEMAN lyrics by P-Unit ft Sauti Sol

Buganya]

I'm a gentleman

m-healthy nakunywanga tu ma-vitamins

mgenge hata sipendi mavita man

ndio nikuwe fresh

napiga shower nadunga marash

moss moss Buga sinanga stress

ata ma-skin tone hainanga ra

yes, I like your miniskirt

relax, sipendangi hata ma-shortcut

the more unakaa na mimi the more wanaku-hate

uko set uko fresh

ka-smile kako hukam poa na mu-hate

madame wangu si huwacha vi-sweet

mi hu-chase nao sip, cheki nimefunga zip

wee niambie, si nani anakujanga na nani kwa nani

na sikianga nampigia nini kwa nini

leo wewe umedunganga mini bila nini

usiulize ni nini, usiulize mi nini

I'm a gentleman, yes I am

Chorus [Sauti Sol]

nipate baby kwenye bar

uliza shorty what she drinking

you know you're rolling with a gentleman

nauliza utapewa nini

nipate baby kwenye bar

uliza shorty what she drinking

you know you're rolling with a gentleman

nauliza utapewa nini

Verse 2 [Frasha]

yo ladies and gentlemen, introducing

Frasha the gentleman, madame wananipenda

oh yeah, I'm a ladies man

always niko kazi so yeah, I'm a businessman

wananiitanga Frasha yeah the super man

juu watoto niko nao, ni wasupa man

nikiwa kwenye bar, venye mi hukaa

venye mi huvaa, ai, si huwanga balaa

baby unakunywa nini

pewe unachotaka, kwani iko nini

pause, si ati nakukatia

but nikikupata, siwezi mind pia

baby unakunywa nini

pewe unachotaka, kwani iko nini

pause, si ati nakukatia

but nikikupata, siwezi mind pia

Chorus [Sauti Sol]

nipate baby kwenye bar

uliza shorty what she drinking

you know you're rolling with a gentleman

nauliza utapewa nini

nipate baby kwenye bar

uliza shorty what she drinking

you know you're rolling with a gentleman

nauliza utapewa nini

Verse 3 [Boneye]

in your lifetime girl, hii ni chance

yes, holy chance ya ku-roll na a gentleman

come closer mami tupate dance

yes baby doll mi ni wako all night

na-keep my swag right, all white

na leo nina date na Snow White

rare kind... Bon-eye

ladies go mental, smiles all dental

we getting sentimental, ka-tempo kako gentle

mi ni yule yule

tangu shule shule

pata noti sasa baby come tule

mi ni yule yule

tangu shule shule

pata noti sasa baby come tule

Chorus [Sauti Sol]

nipate baby kwenye bar

uliza shorty what she drinking

you know you're rolling with a gentleman

nauliza utapewa nini

nipate baby kwenye bar

uliza shorty what she drinking

you know you're rolling with a gentleman

nauliza utapewa nini

No comments:

Post a Comment