Tuesday, April 12, 2016

UKIRUDI lyrics by Serah Sarah

Jioni imefika, dirisha naangalia
Nakungoja urudi toka kazini, roho yangu ina raha
Mikono yangu yatamani ooh, kukukumbatia
Nahisi nimefanya zamani, naunda chakula mawazo yamenijaa
Watoto wamerudi homework wamefanya
Rudi rudi baby am missing you

  (CHORUS)
Ukirudi barafu wa moyo, kutoka kazini
Kila ufanyacho kinanituliza (ukiniangalia usoni sinaaa)
Ukirudi barafu wa moyo, kutoka kazini
Kila ufanyacho kinanituliza (sina sikitiko moyoni sinaaa)

Naskia hodi (hodi)karibu nyumbani
When you hold my hand, I feel the vibration deep inside...
Ukinibusu nahisi viraha, lako penzi lashuka
Najua kwamba we umechoka, uko inje ulikotoka
Mpenzi njoo kwanza nikubembeleze, nikukande, nikujali baby eeeh
Am at home baby, am missing you

  (CHORUS)

No comments:

Post a Comment