Wednesday, July 6, 2016

KIOO lyrics by Janguar

One two, maisha ni kama safari ni safari
Hakuna ajuaye kesho itakuwaje

 
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo 
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo 

Maisha ni kama safari na yangu ishang'oa nanga
Tuna siku mbili muhimu, ya kuzaliwa na ya kuzama
Yangu ya kuzaliwa nishaijua bado ya kuzama toka duniani
Wanaongea sana na hawajui kule nimetoka
Wakisema na didimia, ona bado napepea 
Wakiniombea mabaya, duniani nazidi rusha zaidi yao
Wakidhani na didimia, ona bado napepea
Wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao

 
  (CHORUS)
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo

Nimetembea pote duniani nimepatana na wengi duniani
Kuna wale wananieleza ukweli wengine wananidanganya
Wengine hawalali wakitaka kushindana nami
Hawajui kule nimetoka hawajui yale nimeona

Wakisema na didimia, ona bado napepea 
Wakiniombea mabaya, duniani nazidi rusha zaidi yao
Wakidhani na didimia, ona bado napepea
Wakiniombea mabaya duniani, nazidi rusha zaidi yao

 
  (CHORUS)
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo

 

KIGEUGEU lyrics by Janguar


Dunia nizamishe ama uniweke niishi pekee yangu
Kwani ninapomwamini kila binadamu, mwishowe ananigeukia ×2

  (CHORUS)
Nimtazame nani, nimwamini nani (nani)
wananigeukia
Vigeugeu... vigeugeu... vigeugeu wananigeukia ×2

Namwamini daktari sana amponye
rafiki yangu
Anamweka kwenye life support machine,
kumbe aliaga ni pesa anakusanya
Mama mzito anamwamini mkunga
amzalishie mtoto baada ya miezi tisa, mkunga anamgeukia
Mtoto anamgeuzia

Niki-hustle juu chini ili nivuke border
wananigeukia
Niki-hustle juu chini ili nivuke border
wananigeukia ×2

  (CHORUS)

Mwanasiasa aliniomba kura akiniahidi yote atatimiza
Baada ya miaka tano anarudi na kitambi
bila kutimiza
Nina pastor ka jirani yangu nilimwamini
kufa na kupona
Nikitoka kwangu, naye anaingia kuzali
na bibi yangu

Niki-hustle juu chini ili nivuke border
wananigeukia
Niki-hustle juu chini ili nivuke border
wananigeukia ×2

  (CHORUS)

Dunia nizamishe ama uniweke niishi pekee yangu
Kwani ninapomwamini kila binadamu, mwishowe ananigeukia ×2

Bibi yangu kigeugeu
Pastor wangu kigeugeu
Mkunga kigeugeu
Wanasiasa vigeugeu
Rafiki yangu kigeugeu
Fundi wangu kigeugeu
Dereva, kigeugeu
Conductor, kigeugeu ×2

Monday, July 4, 2016

MAZISHI lyrics by Khaligraph Jones

We started from nothing My  nigga  man who’d ever thought we be Hella rich

They said I was hard for the radio cause my rhymes were  venomous
They Know am a goon so they running away man it’s like   they scared of us
We made it we maid it we made it my nigga there is nothing you telling us.Nakumbuka Zile Siku nilikua nakula kwa vibanda
Ku doze tu kwenye simiti hata Sikua na kitanda
They told me niwache usanii ju apo Ni Kama na blunder
But hao ndio as hunisho , manze izo Ngoma zinabambaMan I wanna thank the fans
They told me that hate can never break a man
So all of this talk about this and that azinibabaiashi
Coz every time they give me a beat wanajua Ni mazishi

Manze wanajua Ni mazishi
Leo nimesema ntabonga so boss hamuninyamazishi
So mpaka ile Siku izi Ngoma zitashika ka za avicci
I swear  mtajua uyu nigga Ni nani ju akuna ka sisi

  (CHORUS)
Nikipiga flow wanajua Ni mazishi
Nikishika mic, wanajua Ni mazishi
Nikipanda stage wanajua Ni mazishi
Wanajua Ni mazishi, Wanajua Ni mazishiiiiii
Wanajua Ni mazishi” wanajua Ni mazishi
Si Wanajua Ni mazishi
We hujui Ni mazishi? Wanajua Ni mazishi

Hawa Wathii bado  hawanitishi
Washatambua me sibahatishi
Glory I give it to jehovah nissi

Kanibariki na hizi maandishi
Me huzichora ka tarakilishi
Nina Mafan yaani mpaka kilifi

Hawa marapper Ni Kama kamisi
Wakinicheki si wana wana Go missing
Chini ya maji nika wako fishing

Na ka unataka jua mahali naishi
Piga malap uko 1960
Utapatana na masimba Mafisi

So me huwa na kambi
Ya wezi na bandi
Akina Sammy na akina mwangi
Akina shiko Jose na Njambi
Aki ya nani, sipati Amani
Juu kila Saa makarao tu na landy
Ya Kutudandia, they demanding
That we gon die juu si huvuta izo bangi
But izo bangi me sivutangi
Me Najua  koro zimetoka budalangi
Vile zina hangy unaeza uliza nani,
Ah sjui nani,  nyinyi  Ni nani , Mimi Ni nani Mimi Ni jones
Me ninangaa me Na paa me Ni star inafaa munivalishe taji ya rap juu inakaa
Awa bratha wamechapa no wander waukaa tu mabanii

  (CHORUS) ×2

MATATIZO lyrics by Harmonize

Aiyelaaa, olelelelele......
Alfajiri imefika, anga inang'aaa
Mvua inaanza katika, gafla tumbo la njaa
Naweka sauti kwa spikaa, nipate umbea wa Dar
Mara simu inaita, jina la uncle Twaha akisema
Mama yuhoi kitandani, kama si waleo wakesho
Na kupona sizani upate japo neno la mwisho

  (PRE-CHORUS)
Mindo mtoto wa pekee, nyumbani wananitegemea
Mdogo wangu wa kike, haliduni alishaga olewa
Tazama jasho langu la mnyonge, kipato hakikidhi mahitaji
Napiga moyo kondee, yalabi Mola ndo mapaji matatizo

  (CHORUS)
Matatizo, yatakwisha lini.....
Matatizo, kila siku mimi  (ewe Mola)
Matatizo, yatakwisha lini...
Japo likizo, nifurahi na mimi.....

Mola aliniumba na subira, imani peke ngao yangu
Mbona nishasali sana, ila mambo bado tafarani...
Mama kanifunza kikabira, ikunde sanda haimi yangu
Tena nijitume sanaa na vya watu, nisivitamani
Hata mpenzi nilo nae, najua siku atanikimbia
Itatesa ye ndio nguzoo.....
Zile ngoja kesho badae atazichoka kuzivumilia
Anakosa hata matunzoo....., onaa
Nadaiwa kodi nilipopanga, nashinda road nikilanda
Nishapinga hodi kwa waganga, kwa kuhisi nalogwa
Nikauza maji na karanga, nikawa dobi kwa viwanda
Ila kote ziro ni majanga, mtindo mmoja

  (PRE-CHORUS)
Mindo mtoto wa pekee, nyumbani wananitegemea
Mdogo wangu wa kike, haliduni alishaga olewa
Tazama jasho langu la mnyonge, kipato hakikidhi mahitaji
Napiga moyo kondee, yalabi Mola ndo mapaji matatizo

  (CHORUS)


Monday, June 27, 2016

YESU NDIYE SPONSOR lyrics by Jimmy Gait

OH nana na na OOH jimmy gait again
oh na na na na

kuna watu wako university na wengine wako jobless
wanashinda wakitafuta-tafutaa sponsor.
hawataki kufanya kazi  wanataka life so easy
wanashinda wakitafuta sponsor
utawapata Sarova wakiiwa wananyota
waone kama wanawezapata sponsor

 yesu ndie sponsor wa kweli ,
unapewa nyumba,  unapewa gari
na mali nyingi sana sana
mwishowe unajuta sababu yake sponsor
ndie sponsor wako anakufanyia wadhani niwe pekee,kumbe kuna kadha wa kadha
pia uwa anasponsor.
Wapata magonjwa yasiyo na tiba na future yako yatumbukia

njoo kwa Yesu sponsor wa kweli na hutajuta no no

chorus.x2

njoo kwa yesu sponsor wa kweli kila kitu atakupa oh oh
njoo kwa Yesu sponsor wa kweli na hutajuta no no

CHORUS.

Saturday, June 25, 2016

CHACUN POUR SOI lyrics by Papa Wemba ft Diamond Platinumz (Kila Mtu Kwake)

Motema ezo lela est ce que ozo yoka nga
Mawa na nga pe pinzoli eh
(Moyo unaniuma, hivi unaskia maumivu na machozi yangu?)
Mboka nini na kende epayi ya nga, Nakeyi Dar-Es-Salaam
(Niende wapi mbali na haya, nakwenda Dar-Es-Salaam)
Kolela na nga eleki ya moto mohumbu oya azangaki liberté
(Kilio changu kinazidi cha mutumwa asie kuwa huru)
Kuna kuna na Zanzibar
(Kule kule Zanzibar)

DIAMOND (PRE-CHORUS)
Alfajiri huwa ni kitendawili
Nafikiri pindi tukiwa wawili
Tena nakiri inanitesa mwili
Bora tu niache

   (CHORUS)
Chacun pour soi eh, mélodie na nga
(Kila mtu kivyake, melody yangu)
Chacun chez soi eh
(Kila mtu kwake)
Chacun pour soi eh, mélodie na nga
(Kila mtu kivyake, melody yangu)
Chacun pour soi eh
(Kila mtu kivyake)

Ukweli roho inanisonona
Tena moto hadi sijapona
Ila naamini Mola ataniona
Nitakuja pata wakuniponya
Ila tu chonde ma nikuombe
Usiniseme vibaya
Tena nakuombea kuongezewa
Kwa Mola mwaya

   (PRE-CHORUS)
Alfajiri huwa ni kitendawili
Nafikiri pindi tukiwa wawili
Tena nakiri inanitesa mwili
Bora tu niache
Nibaki mwenyewee

   (CHORUS)
Chacun pour soi eh, mélodie na nga
(Kila mtu kivyake, melody yangu)
Chacun chez soi eh
(Kila mtu kwake)
Chacun pour soi eh, mélodie na nga
(Kila mtu kivyake, melody yangu)
Chacun pour soi eh
(Kila mtu kivyake)

Aah chacun soi eh
(Kila mtu kivyake)

   (CHORUS)

Tucheze rumba
Tena taratibu na mtumba
Twapenda rumba
Wote na marafiki wa kunyumba
Cheza rumba
KINSHASA
Tobina rumba
NAIROBI
Cheza rumba
BRAZZAVILLE
Tobina rumba
Cheza rumba
ABIDJAN NA YAOUNDE
Tobina rumba
NA COTONOU LOME
Mambi na mwana Africa
Rumba ya bana mboka
(Rumba ya wananchi)

Tuesday, June 14, 2016

SUU lyrics by Yamoto band ft Ruby

Wee Ruby karibu mkubwa na wanawe
Haya haya ×4

Nachojua undugu ni ule wa damu, kuzaliwa tumbo moja
We na mimi hatunaga uharani, basi punguza uonga
Nitakupa mapenzi matamtam
Napendaga namba moja
Pilipili yawasha lakini tamu tunapozanga na soda
Nitamushawishi mama, amupende sana babaako
Tutakuchezea chezea, mdogo mdogo utazowea

Kupiga selfie selfie kila siku hazina maana
Nitadondosha simu makusudi, tuonekane hatuna maana ×2
Turuba initandikie, naamusha usimamie
We mtoto wa baba Eh! Eh! Eh!

Undugu kaunganusha baba, kwa mama yenu nyie
Mnapaswa muniite dada na muniheshimu mie ×2
Kweli baba anaishi kwa mama yenu
Naomba sana dada yenu munieshimu

  (CHORUS)
Hili zizi la kondoo dume
We ni apple lazima uchumwe
Acha niombe mungu kidume aye-ye-ye-ye

Suu nitamwambia baba
Nitamwambia baba
Nitamwambia baba
Munanisumbua ×2

Ruby, mama kaniambia nioe-nioe-nioe
Ila mimi nataka nikuoe wewe Ruby
Ayii Ruby!
Basi punguzanga kiwewe
Niruhusu Ruby na mimi nikuite baby
Hapana aaa
Funika kombe mwana haramu apite, apite
Mimi kwako wewe nitakifanya chochote, chochote
Ruby si dada yangu kusema tumetoka wote kwa mama yangu
Ukinipenda akitokei chochote
Pam Pam ru-ma
Mlango wa chuma, ukiufungua hauna
huruma
Mama anataka mjukuu, yani ni kuweka usiku
Pam Pam ru-ma
Mlango wa chuma, ukiufungua hauna huruma
Wouho, wouho, iyoo mama
Yo iyo, yo iyo
Iyoo mama, mame eeh!

Kwanza moja nikwambie, wewe unaendana na mie
Wengine we wakunjie, ni mimi tu niwe na wewe
Nataka kufurahisha baby, komando nitalinda kidonda
Nzi wasije fonza nitaumia
Usiku waaga vinanitoka, mi siri ya bomba nimefunguka
Nahisi waniita mwenzako pwa ka cha lishafunguka 

  (CHORUS)