Monday, July 18, 2016

UKIMWONA lyrics by Diamond Platnumz

Verse 1

Mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu

Yashanipiga sasa sinabudi nielewe

Siwezi kung'ang'ania huenda sio fungu langu

Japo nishida ila, nitabaki mwenyewe

Ohh ila , mpe shukrani kwa kuniumiza sura yangu

Mwambie mi bado mahututi nauguza kidonda changu

Na asisikie kisirani, hukumu ya mapenzi mabaya

Hata ungali hai kairuki usingetibu gonjwa langu

Kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda)

Sina amani nasaga rumba (rumba)

Ooh unani dunda

Sema chine tembee moyoo

Unanidunda dunda (mami moyooo)

Sina amani nasaka rumba (ooh mimii)

Ohh unani dunda

Chorus

Eeeeeeeh ukimwona

Ukimwona ukimwona

Ukimwona ukimwona ukimwona

We nenda mwambie marafiki, marafiki wabaya

Tena wengi waongo, hawawazi ndanganye

Oya ni mashoga rafiki, oohh marafiki wabaya

Oooohhhh oooohhh mmmmmhhh

Verse 2

Tatizo mi bado, nilipoteleza nkakosa sipajui

Mpaka akafunga virago, na akaamua kuondoka sitambui

Ubaya, kinacho niumiza, maneno neno maneno

Mara kwa ndugu rafiki, kwa nini anawapa misemo

Najaribu papasa, mbona ka macho ataona chochote

Ila ndo kutwa mikasa, na nazidi kuanguka, niokote

Kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda)

Sina amani nasaga rumba (rumba)

Ooh unani dunda

Sema chine tembee moyoo

Unanidunda dunda (mami moyooo)

Sina amani nasaka rumba (ooh mimii)

Ohh unani dunda

Eeeeeeeh ukimwona

Ukimwona ukimwona

Ukimwona ukimwona ukimwona

1 comment: