Intro]
Mazuu On The Beat!
Uh uuh
Uh uuh
Mmh!
[Verse 1]
Yale maneno matamu nikafikiri nyota njema
Mara asubuhi, asubuhi moyoni
Kumbe miale ya sumu ulikusudia kunichoma
Angali sijui, sijui kisa niii
[Pre-Chorus]
Nimeamini penzi, penzi zigo la miba
Lishanichoma na kunipofua moyo (moyo moyo)
Bila ye siwezi mwenzenu napata shida
Amani sina kinauma kidonda changu
[Chorus]
Kitachelewa (uuh uh)
Kupona kitachelewa chelewaa
Sema kitachelewa sweetie
Kidonda changu
Kitachelewa (uuh uh)
Kupona kitachelewa chelewaa
Sema kitachelewa sweetie
Yarabi moyo wangu
[Verse 2]
Yale mahaba ninyonge ntayamiss saana si unajua
Umenifanya nikonde shilingi sina ningenunua
Umenipora hata tonge angali shibe sina utaniua
Ningekunywaga na pombe, ila kichwa sina ningezimia
[Pre-Chorus]
Nimeamini penzi, penzi zigo la miba
Lishanichoma na kunipofua moyo (moyo moyo)
Bila ye siwezi mwenzenu napata shida
Amani sina ninaugulia kidonda changu
[Chorus]
Kitachelewa (uuh uh)
Kupona kitachelewa chelewaa
Sema kitachelewa sweetie
Jamani kidonda changu
Kitachelewa (uuh uh)
Kupona kitachelewa chelewaa
Sema kitachelewa sweetie
Yarabi moyo wangu
[Bridge]
Mmh!
Na tena sipati usingizi (ai moyo, ai moyoo)
Ati kula mi siwezi (ai moyo, ai moyoo)
Tena nusu niwe chizi (ai moyo, ai moyoo)
Yote kisa mapenzi (ai moyo, ai moyoo)
[Outro]
Mazuuuuu (Record!)
Maximizer
Harmonize baby!
bro uko sawa ki music naomba niwe kama kama.....
ReplyDelete